Simba dume akitimua mbio kukwepa dhahama ya kupgwa na nyati baada ya kustukiwa na windo lake, hali kama hii inafaa kwa kujihami hata kama una ubabe wa namna gani mbele ya wengi. kicheko angalia kwa umaki nyati wa kushoto namna alivyo na usongo wa kumrukia mzima mzima.
Hawa
ni wale wananchama wa vyama vya siasa vyenye upinzani mkali baina ya
Chadema na CCM katika tukio la kugombe mti wa kuwekea bendera, kicheko
cha hii picha mwangalie huyo mwanaccm mwenye bahasha akijiandaa kurusha
jiwe kushoto lakini mwinge ni yule mwenye jiwe kulia ndani, sijajua kama
mfuasi huyu wa Chadema alifanikiwa kukwepa lakini na namna anavyowapiga
chenga kundi kula la maadui zake.

0 comments:
Post a Comment