ads

Habari Mpya

Tuesday, November 5, 2013

MSIBA: MWANAMUZIKI WA INJILI ''BAHATI BUKUKU'' AFIWA NA BABA YAKE MZAZI LEO JIJINI DAR ES SALAAM...




Msanii wa nyimbo za injili, Bahati Bukuku amefiwa baba yake mzazi Mzee Paul Bukuku baada kuugua kwa muda mrefu.

Marehemu amefia katika Hospitali ya Kardinali iliyopo Ukonga jijini Dar es Salaam na msiba upo nyumbani kwa Bahati maeneo ya Tabata, jijini Dar es Salaam.
Mwenyezi mungu awape moyo wa subri ndugu, jamaa na marafiki katika kipindi hiki kigumu cha maondokewa na mpendwa wetu, Amina. chanzo: 

habari24.blogspot.com
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Item Reviewed: MSIBA: MWANAMUZIKI WA INJILI ''BAHATI BUKUKU'' AFIWA NA BABA YAKE MZAZI LEO JIJINI DAR ES SALAAM... Description: Rating: 5 Reviewed By: Unknown
Scroll to Top