| Pro. Killen na wamsindikizao |
| walipo tangazwa rasmi kuwa ni wachumba |
| wenye upendo wa kweli na wa dhati wakaja kudhihirisha.... kwa zawadi mbalimbali |
| after Ibada |
| familia ya mlezi wa binti Farida (wa pili kutoka kushoto ni Mr. Mtweve baba mlezi wa Farida akiwa na watoto wake pamoja na Farida) |
| kijana anakaribishwa nyumbani.... kuwa mmoja wa wanafamilia |
| waaaacha weweeeee..... hapana chezea KillenFrida.... kama mapacha ( mmefanana kama mayai) |
| pamoja na msimamizi wa upande wa binti |
| kila aliye waona alitamani kupiga nao picha.... (kulia ni dada wa Farida) |
| GENTLEMEN |
| Add caption |
| hongera my dear dada, shoga, best, shost, modal...... n.k |
| "jamanieee hawa wakaka wooote mnao waona hapa hawana hata mchumba" Mch. akiwapigia debe na o wapate watangaze |
| bintieee... Farida.... Full kutabasamu |
| jamaniii..... hawa siyo ndugu kweli???? |
| uchumba maombi.... sogelea ufanye CUT and PASTE ufe.... |
| pongezi za ukweli kwa watu wakweli |
| ukweli hata mie ningechoka.... kuanzia saa kumi na mbili mpaka saa nane...!!! (ibada zoote tatu) hapo bado party |
| before Party.... (katika ni dada Joylen Mtokambali) |
| can able to think who is next... after KillenFarida |
| yaani kama wewe ni mdada na haujatupia kitu cha red.... sijui ulikua unajisikiaje |
| hapana chezea dada wa the Blogger JohnMinja |
| kila mtu na dada yake...... behind the scene |
| kuingia (Killen akiwa amesindikizwa na Dada Joylen (katika hali ya kufanya zoezi) |
| waaaaacha wewe kumbe unene auzuiii kucheza???? paka chini.... chini tena |
| nimegundua smile ni ndugu yako.... |
| maombi na mawaidha toka kwa Mch. Alex |
| jamanii.... limbuko la VOV huyoooo... |
| ulisha jiuliza kwanini pete ya uchumba inakuwa na kinundu???? na huvishwa mwanamke only???? |
| nipe nikupe.... ndiyo kauli za wapendanao |
| dolidoli.... nionja pendo lake nitaaaamu... ulilinde Penze lenu lisongeeee...... (sipo unapowaza) |
| kila mtu na chake mwaego |
| msinisumbue tena.... sawa wakaka??? |
| meza ya viongozi na wachungaji |
| na Matv Yalikuwepo.... weweee |
| Mch. Olembae akisema neno... |
| mwisho maombi kwa wasiyo na wachumba kabisa.... wakanyoosha mikono juu |
| maombi mazito toka kwa mch. yakafanyika kwa ajili yetu... |
| Mch. Alex, |
| Mch. Lilian |
| Mwenyekiti wa CAs akajazia |
| Pro. Killen akiiimba wimbo maalumu huku akisindikizwa na Mchumba wake pamoja na wasimamizi wao... |
| waliova sare wakaja kutoa kampani... |
| Na MaTv nayo yanarecord aiseee... |
| mkono wa pongezi kutoka kwa wachungaji na viongozi... |
| mara watu wakaanza kugombaniana kwenda kuwashika... ikabidi wapangwe mstari mmoja... |
| wasaaa wa kwaito huooooo.... |
| muda muafaka ukatimia.... |
| rooommet wake tangu kindagaten mpaka chuo kikuuu.... |
| wasaaaa.... washow ya pamoja ya CAs (wimbo wa I KNOW WHO I AM...!!!!!) |
| The Blogger naye yumo |
| mapacha hawoooo.... |
| akapewa nafasi ya kuimba wimbo wowote..... |
| msimamizi wa mwanaume akashindwa kuvumilia kabisa!!!!!! |
| woooote wakashindwa kuvulia.... wakaja kuhakikisha ni yeyey kweli??? |
| binti upako ukashuka..... |
| mara wooooote wakaaanza kunena... |
| kama kawa kama dawa Pro. Killen na Bestie Joylen... |
| Pro. Killen na viongozi wa CAs |
| msimamizi huyoooo |
| wakike huyoooo... |
| waliotamani picha na wapendanao wakakuja!!! |
| Solo guiterman |
| Musicians |
| wasimamizi naoo wamoooo (natamani roho awashukie....) |

0 comments:
Post a Comment