ads

Habari Mpya

Tuesday, November 12, 2013

TAZAMA PICHA NA RIPOTI YA HARUSI YA MAHARUSI WALIOFUNGA NDOA WAKIWA UCHI WA MNYAMA..!!! SEHEMU NYENGINE WAKIWA NDANI YA MAJI KATIKA KINA KIREFU..! HAWA HAPA





Josh Hughes na Shelley Davie wakifunga pingu za maisha uchi.


Hawa nao wakatoa yao kali chini ya bahari.Baadhi ya watu wamekuwa wakipenda siku yao muhimu katika maisha yao iwe ya kukumbukwa daima. Kwa mfano wengi wamefunga ndoa zao katika mazingira ya ajabu na wengine wamekwenda mbali zaidi na kuamua kufunga pingu za maisha wakiwa uchi wa mnyama. Bi harusi Shelley Davie na Bwana harusi Josh Hughes wa Melbourne, Australia wao walitoa kali zaidi pale walipooana wakiwa uchi kabisa.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Item Reviewed: TAZAMA PICHA NA RIPOTI YA HARUSI YA MAHARUSI WALIOFUNGA NDOA WAKIWA UCHI WA MNYAMA..!!! SEHEMU NYENGINE WAKIWA NDANI YA MAJI KATIKA KINA KIREFU..! HAWA HAPA Description: Rating: 5 Reviewed By: Unknown
Scroll to Top