ads

Habari Mpya

Sunday, November 17, 2013

KUSAKA USTAA KWA KUPIGA PICHA ZA UCHI......KOLETHA AFUNGUKA!!!!




MWIGIZAJI Koletha Raymond ‘Koletha’ amefunguka kuwa hapendi umaarufu kwa kupiga picha za utupu kama wasichana wengi walio katika tasnia ya filamu wafanyavyo.

Mwigizaji Koletha Raymond ‘Koletha’.

Koletha aliyasema hayo ikiwa ni siku chache tu baada ya mitandao kadhaa kusambaza picha ya utupu inayoonesha sehemu ya kiuno, ikidaiwa kuwa ni ya msanii huyo ambapo paparazi wetu alipomhoji kuhusiana na picha hiyo, alitiririka:

“Hiyo picha siyo yangu. Mimi siwezi hata siku moja kusaka usupastaa kwa kupiga picha za uchi, kwanza sipendi na sitaki kufanya hivyo sababu ninajiheshimu tofauti na wenzangu wanaoendekeza mambo hayo wakati hawana kazi hata moja sokoni,” alisema Koletha.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Item Reviewed: KUSAKA USTAA KWA KUPIGA PICHA ZA UCHI......KOLETHA AFUNGUKA!!!! Description: Rating: 5 Reviewed By: Unknown
Scroll to Top