ads

Habari Mpya

Tuesday, November 12, 2013

NANI ALIJUA LADY JAYDEE ANGEKUWA HAPA ALIPO..???? ANGALIA PICHA ZA LADY JAY DEE WA MIAKA 10 ILIYOPITA

2003 - Na hiyo ndio cheni ya kwanza ya dhahabu kwa Lady Jay Dee kununua kwa hela yake mwenyewe 

 Huyu ni Lady Jay wa Mwaka 2006-2007 ila kwa sasa amekua sana na havai hivyo tena. #Nice 
Na marehemu Kiiza Kahama Akiwa Na Komando Jide kwenye mkesha wa mwaka mpya 2000-2001 
Huyu ni Jide mwaka 1995 wakati akifanya miondoko ya kufoka foka kabla hajaanza kuimba
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Item Reviewed: NANI ALIJUA LADY JAYDEE ANGEKUWA HAPA ALIPO..???? ANGALIA PICHA ZA LADY JAY DEE WA MIAKA 10 ILIYOPITA Description: Rating: 5 Reviewed By: Unknown
Scroll to Top