| mambo ya salon na kuchakucha.... |
| mapooooozi time |
| thanks my best kwa ushirikiano wako kwangu... |
| I love you mumy yangu... |
| special keki.. |
| mumy pamoja na mama mkwe (katikati) wakiingia ukumbini... |
| mumy akiingia ukumbini kwa furaha... |
| maombi kabla ya yooote.. |
| kutambulisha walio ndugu zangu... woooote!!!! |
| utambulisho upande wa mama mkwe... |
| mama mkwe (katikati) na best zake... |
| mumy (kulia) na best zake |
| wageni waaalikwa |
| ni poooozi tu.... mie na best yangu |
| somo kuhusu maombi ndani ya ndoa.... thanks my teacher |
| burudani.... kwa anayejua Kudua |
| mama yangu mkwe..... |
| mumy yangu... |
| mwalimu wa uchumi na mambo ya chumbani...... |
| mumy na mwalimu... |
| ukweli sasa nimejua umuhimu wa kutumia kinu na mtwangio wake kwenye ndoa... |
| mwalimu akinifafanulia zaidi kuhusu utumizi wa kinu na mtwangio... ndani ya ndoa |
| mambo kukuna nazi hayooo... |
| mwalimu akinifafanulia kuhusu umuhimu wa kukuna nazi katika ndoa |
| namna ya kukaa wakati wa kupika au kuandaa msosi kwa mumeo... |
| burudani na mwalimu... (aliyenyoosha mkono) |
| maombi mazito kusudi nisisahauu yooote niliyofundishwa... na Mungu anisaidie |
| kataaaa! kataaa! kata usiogope! keki yako mwenyewe! |
| asante kwa kunichagua mimi... |
| asante kwa kunikubalia kuwa nami... |
| aaaahhhh my dogofriend.... I love youuuuu |
| asante sana mumy... pokea hichi kidogo nilicho nacho |
| I love you mumyy... |
| asante mama mkwe kwa kunizalia nimpendaee..... |
| kwaiiiitooooossss Time |
| special menu kwa Mercia |
| Add caption |
| ukweli kitamu sana.... |
| kapu la mama.... |
| wewe ni MTZ hivyo vitu marekani havipo, so usiviache Mercia... |
| mother like a daughters |
| whose next???? pendeza wewe.. |
| hawa ndiyo maflowers girl.....(whose next???) |
| kiatu kimefanyaje tena... |
| pongezi kwa mumyy... |
| wakweeee |
| mama mkwe akiwa amemkumbatia mumyy |
| pongezi kwa mama zangu wadogo.. |
| mamdogo na mumy |
| mamdogo na mumy |
| mie na mamdogo |
| zawadi ya kamati.... picha inayaonesha uhalisia wa maisha ya MTZ |
| kufunga kwa maombi |
| neno la shukrani toka kwa mumy... kwa wageni waaalikwa |
| bye bye jamani tuktane kwenye harusi yangu jamani nawapenda..... mwaaaaa |
au e-mail; shangwemoro@gmail.com
WOTE MNAKARIBISHWA
0 comments:
Post a Comment