ads

Habari Mpya

Thursday, January 16, 2014

HABARI MPYA !!! LIYUMBA ASHINDA KESI YA KUKUTWA NA SIMU YA KIGANJANI GEREZAJI.


MKURUGENZI wa zamani wa Utawala na Utumishi (DPA) wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Amatus Liyumba ameshinda kesi ya kukutwa na simu gerezani iliyokuwa inamkabili hivi punde katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam. 


Liyumba ameshinda kesi hiyo baada ya upande wa Jamhuri na mchunguzi wa kesi hiyo kushindwa kuithibitishia mahakama kuhusu tuhuma hiyo. Hukumu hiyo imesomwa na Hakimu Mkazi, Augustina kuanzia saa 3:30 mpaka 4:20 asubuhi
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Item Reviewed: HABARI MPYA !!! LIYUMBA ASHINDA KESI YA KUKUTWA NA SIMU YA KIGANJANI GEREZAJI. Description: Rating: 5 Reviewed By: Unknown
Scroll to Top