ads

Habari Mpya

Friday, August 30, 2013

HAKIKA MR & MRS CHRISTOPHER MTWEVE WANASTAHILI HONGERA..... KWA KUTIMIZA MIAKA 25 YA NDOA YAO..... pata baadhi yam matukio katika picha vile ilivyokuwa

Mrs. Helen Mtweve, katika vazi lake maalumu la tukio...

Mr. & Mrs. Mtweve

gari lililowabeba Mr. & Mrs. Mtweve, lipo tayari kwa kuanza safari ya kuelekea kanisani BETHEL REVIVAL TEMPLE






kuingia kanisani

mfano kwa vitendo, Askofu. Mtokambali, wakionyeshana upendo wa kweli na mkewe kwa kunyweshana maji Live...... waaoooh
ninyweshe-nikunyweshe.....







ushuhuda na sadaka kwa maarusi


mwonekano wa mbele


chagua utakacho chochote kisicho na kilevi....

Live Band.... ndani ya ukumbi



Askofu Mtokambali na Mkewe..... ndani ya ukumbi

Mwenyekiti wa kamati akifungua na kukaribisha wageni waalikwa
kuingia ukumbini..... kwa furaha na nderemo

Familia ya Mtweve pamoja na wasimamizi pembeni yao, na watoto waliosimama...


Mr & Mrs Mch. Prof Joseph Kimeme

Mzazi wa upande wa mwanamke akitoa maneno ya hekma

kamati na maarusi

wasaaa wa keki

keki kwa wazazi wa kiroho

nilishe-nkulishe


Bwana harusi akikumbatiana na Askofu Mtokambali wakipongezana...

wasaaa wa kwaito....

Add caption


Mama Mtokambali na Bibi harusi....


zawadi toka kwa watoto kwa wazazi wao

mambo ya Red capet outside

utajuaje tunajua kuimba

wasaa mahususi.....

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Item Reviewed: HAKIKA MR & MRS CHRISTOPHER MTWEVE WANASTAHILI HONGERA..... KWA KUTIMIZA MIAKA 25 YA NDOA YAO..... pata baadhi yam matukio katika picha vile ilivyokuwa Description: Rating: 5 Reviewed By: Unknown
Scroll to Top