| wakati wa mapoudaaaaahhhh... na SUMA SALON |
| Kuingia kanisani Bethel Revival Temple |
| salam na baba Askofu, Barnabasi Mtokambali (kushoto) Bwana harusi John Telesfori (kulia) |
| tayari kwa ibada ya ndoa |
| viongozi wa sifa walawi |
| miusicians |
| Shukuru (mpiga bass) |
| Richard (mpiga solo) |
| Samuel (Dramer Boy) |
| samuel square (mpiga rythm) na (mpiga kebord) |
| samuel (mpiga rythm) |
| bwana harusi yupo fasta,... amefika ndani mapemaa... |
| bibi harusi nae hakuwa mbali.... |
| bwana harusi akenda kupokea.... |
| msajili wa ndoa... |
| ahadi takatifu kutoka kwa bwana harusi |
| kutoka kwa bibi harusi |
| ushahidi wa kuonekana (pete/ring) |
| nivishe nikuvishe....... |
| dubwii... |
| saluti kwa wanyakyusa kwa kupiga goti |
| mwendo wa kushindana tu..... naye anavishwa |
| weweeeee..... chezea wanyakyusa! mpaka chini... |
| mwanzo mwema usiyo na makunyanzi hulindwa kwa maombi maalumu |
| samuel (mpiga keybord) |
| ikifikaga hapa kwa ambao hawajazoea hupata tabu kweliii..... chezea kupigabusu mbele za watu... |
| sahihi katika vyeti vyao vya ndoa..... |
| makabidio ya vyeti |
| kama mapachaeeee... |
| jamanii.... Baba Askofu, anajivunia kuzaa, kulea na kuozesha pia..... Waoh!!!! |
| ndani ya Morogoro hotel |
| Mapoooooozi tym |
| mwendo wa kushindana tu!!!!! nilishe nikulishe.... ngoma droooo!!!! |
| haya sasa mambo ya zero distance.... kufungua muziki..... |
| jamani asanteni na kwaherini..... siye twaondoka!!!! |

0 comments:
Post a Comment