ads

Habari Mpya

Sunday, August 4, 2013

MWAKA HUU SIYO MCHEZO..... BANDA LA NSSF LAWA KIVUTIO MAONYESHO YA NANE NENE MOROGORO

 Afisa wa nssf akitoa maelezo kuhusu huduma zitolewazo na shirika hilo katika maonyesho ya wakulima nane nane yanayofanyika katika viwanja vya maonyesho vya mwalimu nyerere mkoani morogoro
 Maofisa wa Mfuko wa jamii nssf wakiwa katika banda lao katika maonyesho ya wakulima nanenane


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Item Reviewed: MWAKA HUU SIYO MCHEZO..... BANDA LA NSSF LAWA KIVUTIO MAONYESHO YA NANE NENE MOROGORO Description: Rating: 5 Reviewed By: Unknown
Scroll to Top