| kilimo cha nyanya kilicho bora, kinacho toa zaidi ya debe 2 kwa mche mmoja, pia mche mmoja una urefu wa mita 15 kwenda juu, na unaweza lima kwa mwaka mzima.. |
| pampu za shughuli za kilimo kwa mkulima |
| Mkuu wa Mkoa akitembelea shughuli za kilimo |
| kitungu cha ajabu na tofauti kinachotoa gunia 230 kwa hekari 1 |
| kitungu cha F1, kilichomshangaza mheshimiwa... kwa kutoa gunia 230 kwa hekari 1 |
| ndani ya green house |
| mwonekano wa sehemu ya W-3W ndani ya maonesho ya nanenane Mkoa wa Morogoro |
| wataalamu wakiwa tayari wameshajipanga kwa maelezo zaidi kwa wahitaji wooote |

1 comments:
mh....!!!
Post a Comment