| kuwasili kwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mh. Joel Bendera, katika Banda la JKT katika maonesho ya nanenane mkoa wa Morogoro |
| salamu kwa baadhi ya wahusika wa JKT |
| sehemu ya mauzo ya bidha za JKT |
| kitanda cha mti wa mnazi |
| Mkuu wa wilaya ya Morogoro (katika) akijaribisha kukaa katika kitanda cha mnazi.. |
| office furniture |
| ndani ya green house JKT (kilimo cha nyanya |
| Mh. Mkuu wa Mkoa akiwa ndani ya jokofu (friji) ya kutumia mkaa na maji, iliyogunduliwa na JKT, kwa ajili ya kuhifadhia mazao ya mbogamboa na matunda |
| ufugaji wa kuku JKT |
| utaalamu wa kupandishia ng'ombe jike bila ya dume- JKT Morogoro |
| ufugaji wa samaki - JKT Morogoro |
| kuelekea katika hotuba ya ufnguzi wa maonesho ya nanenane... |
| Mh. Joel Bendera, Mkuu wa Mkoa wa Morogoro |

0 comments:
Post a Comment