ads

Habari Mpya

Friday, September 27, 2013

KWA WANAOTAKA KUJUA TUNAVYOVIFANYA SISI NA MENU NDIYO HII



          
 

          MENU
HUDUMA YA MUZIKI

Ø  MUZIKI BILA (MC )
UKUBWA / UJAZO
GHARAMA
(Tsh.)
MENGINEYO




Ujazo mdogo
Tsh. 100,000/=
Kila kitu kwetu



Ujazo wa kati
Tsh. 150,000/=
Kila kitu kwetu



Ujazo wa juu
Tsh. 200,000/=
Kila kitu kwetu


Ø  MUZIKI PAMOJA NA (MC)
UKUBWA / UJAZO
GHARAMA
 (Tsh.)
MENGINEYO



Ujazo mdogo
Tsh. 300,000/=
Kila kitu kwetu



Ujazo wa kati
Tsh. 350,000/=
Kila kitu kwetu



Ujazo wa juu
Tsh. 400,000/=
Kila kitu kwetu
NB:
Ø  Mc wetu wanatokea Morogoro Manispaa, ukitaka Mc nje ya Morogoro, tunaweza kumleta kwa makubaliano maalumu.

 KUZUNGUKA NA GARI (PA)
MATUKIO YA KAZI
Ø  Kuzunguka na Maharusi
Ø  Muda wa Mazishi
Ø  Matangazo mitaani

KUZUNGUKA NA MAHARUSI
Ø  Gharama zake ni Tsh. 350,000/= (usafiri kwetu)                  


MUDA WA MAZISHI (MAKABURINI)
Ø  Kufunga vyombo muda wa mazishi makaburini                Tsh. 250,000/= (kila kitu kwetu)


MATANGAZO MITAANI
Ø  Kufanya matangazo ya kuzunguka na gari (PA), Tsh. 400,000/= (kila kitu kwetu)

HUDUMA YA PICHA
Ø  Video shooting
Ø  Picha za Mgando

Ø  VIDEO SHOOTING
Bila Screen (TV) ukumbini= =            Tsh. 150,000/=
Pakiwa na Screen (TV) 1 = = =           Tsh. 350,000/=
    Screen (TV) 2 = = =            Tsh. 550,000/=

Ø  PICHA ZA MGANDO
1)       Kupiga na kusafisha.
2)       Kupiga bila kusafisha


1)       KUPIGA PICHA NA KUSAFISHA
 (hardcopy); 1@ size(5x7) Tsh. 1000/=
Kwa picha 70, utapata vifuatavyo…
Ø  kuwekewa picha zako kwenye CD bure!
Ø  kuwekewa picha kwenye album bure!
Ø  punguzo la 10%. Kuanzi picha 100,


2)       KUPIGA PICHA BILA KUSAFISHA
 (softycopy); 1@(softy), Tsh. 400/=
 Na utapata ofa zifuatazo…
Ø  kuwekewa picha kwenye  CD au DVD bure!
Ø  picha zaidi ya 50 utapata punguzo la 10%



AUDIO RECORDING
Ø  Master 1@ Tsh, 20,000/=
Ø  Duplicating 1@ Tsh. 3,000/= 

NB;
Garama ya master ni kwa tukio la siku 1 tu, ikiwa zaidi tutakubaliana pamoja,  pia tunatoa kwa njia ya CD, na zitakuwa na kava zenye picha ya tukio husika.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Item Reviewed: KWA WANAOTAKA KUJUA TUNAVYOVIFANYA SISI NA MENU NDIYO HII Description: Rating: 5 Reviewed By: Unknown
Scroll to Top