| Sajo akiwa Salon |
| akionyesha mapozi katika picha... |
| mambo ya gauni tausiii... |
| akiwa na best yake wa karibu.... |
| kekiiiii... |
| mwonekano wa mbele siku ya tukio... |
| mama yake Sajo (kushoto) akisalimiana na mwalimu wa somo la maombi (kulia) |
| mama Sajo (kulia) akisalimu wageni waalikwa... |
| sherehe ni furaha, shangwe na vifijooooo..... palikuwa padogo ghafla!!!! |
| wasaha wa keki ukafika.... |
| asante besti kwa kunipa ushirikiano... |
| mmmh... best na mie kwa kuniona nafaa.... |
| Mungu akubariki mama yangu.... |
| Add caption |
| Add caption |
| bibi yangu nakupenda saaaaana!!!! |
| viongozi wa Wanawake Wa Kristo, pamoja na waaalimu |
| Mama Sajo (kushoto) akiwa na Mrs. Mtokambali (kulia) |
| Mchungaji (kushoto) akiwa na mama Sajo (kulia) |
| usipo iyombea familia yako utakujafunua box la zawadi ya matakataka... |
| Ila... ukiiombea ndoa yako... Mungu atakupa kile kitu roho yako inapenda!!!! TAKE IT IN ACTION |
| Mwl. wa mahusiano... |
| Mrs. Mtokambali akitoa nasaha zake kwa Sajo.. |
| kweli siku hiyo ndipo nilipojua hakuna asiyejua kucheza muziki..... Mama Sajo akiwa na best yake. |
| bibi nae hakutaka kuwa nyuma... akaamua kutoa step kwa mjuku wake.... TWENDE |
| kamati ya maandalizi |
| Mwenyekiti (kushoto) akimkabizdhi Sajo risiti ya zawadi |
| Sajo akiwa na wachungaji pamoja na wake wa wachungaji |
| pata upako kutoka kwa wachungaji na wake wa wachungaji |
| muda wa msosi huoooo ukafika |
| kula mwaego... |
| kufunga kwa maambi na Mrs. Mtokambali |
| Mungu awe pamoja nanyi... mtoktpo na muingiapo Mungu awe nanyi... (wimbo wa kutokea) |

0 comments:
Post a Comment