ads

Habari Mpya

Saturday, October 19, 2013

DADA SUMA TUTAKUKUMBUKA DAIMA.... ukweli tumeshudia namna alivyoondoka dada yetu mpendwa pamoja na watoto wake, kinachotakiwa kwa sasa kwa mimi na wewe tukiondoka leo unakwenda wapi?? kikubwa na cha muhimu ni kumtumainia Mungu na kutenda yanayopaswa kutendwa.... yote hayo yakikamilishwa na kumwamini Yesu kristo kuwa ni njia ya sisi kuingia mbinguni...JIPANGEEE!!!!

DADA SUMA MWAKYAMI

Mwonekano wa majeneza ya marehemu

kwaya ya Living Water kutoka Bethel, ikiimba kwa majonzi makubwa





baba askofu Mkuu Dr. Barnabasi Mtokambali, ambaye ndiye mchungaji kiongozi wa Bethel Revival Temple, kanisa alilokuwa ana sali marehemu dada Suma

Jimmy Mwakyami (katikati) ambaye alikuwa mume wa marehemu dada Suma, na baba wa watoto



salamu za rambirambi toka chama cha vikoba, ambapo Maremu dada Suma alikuwa mwanachama

salamu toka kwa chama cha kiwili, ambamo familia ya Suma ilikuwa mwanachama

salamu toka shule ya St. Mery's International, ambayo watoto wawili, Ghama Mwakyami na Happyness Mwakyami waliofariki walikuwa wanasoma hapo

salamu toka kiwili Ladys, ambamo dada Suma alikuwa member

salamu toka TAFFES ambacho dada Suma alikuwa mshirika

salamu toka kanisa la Bethel, ambalo dada Suma alisali hapo

salamu toka chama cha viazi lishe, ambacho dada Suma alikuwa Mshirika humo

salamu toka Chuo cha Kilimo cha Sokoine

wimbo wa maombolezo, toka kwa wanafunzi wa St. Mary's

mume na baba wa marehemu, Jimmy Mwakyami akitoa heshima zake za mwisho
BWANA AMETOA........ NA......BWANA AMETWAAA.....!!! JINA LAKE LIBARIKIWE
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Item Reviewed: DADA SUMA TUTAKUKUMBUKA DAIMA.... ukweli tumeshudia namna alivyoondoka dada yetu mpendwa pamoja na watoto wake, kinachotakiwa kwa sasa kwa mimi na wewe tukiondoka leo unakwenda wapi?? kikubwa na cha muhimu ni kumtumainia Mungu na kutenda yanayopaswa kutendwa.... yote hayo yakikamilishwa na kumwamini Yesu kristo kuwa ni njia ya sisi kuingia mbinguni...JIPANGEEE!!!! Description: Rating: 5 Reviewed By: Unknown
Scroll to Top