 |
Shule inatwa LA MIRIAM SECONDARY SCHOOL, ni shule ya wasichana peke yake ya Bweni, iliyosajiliwa kwa elimu ya Secondary na inapatikana mkoa wa Morogoro ndani ya manispa ya Morogoro Mjini. shule hii inapokea na kusomesha wasichana na inatoa huduma iliyobuniwa na kuratibiwa, kiroho, kiakili, kimwili, na kijami. |
|
Shule ya LA MIRIAM GIRLS SCHOOLS, IPO TUNGI Morogoro. kilometa sita (6) kutokea Morogoro mjini karibu na uwanja wa nanenane vilivyopo barabara iyendayo Dar es Salaam.
(behind the scene) Wahitimu wa kwanza wa shule ya La Miriam, wakiwa wanajianda tayari kwa kuingia ukumbini kwa ajili ya Graduation.
style yao ya pekee... kwa wahitmimu wakiingia ukumbini maalumu wa Graduation
 |
Mh. waziri Jumanne Magembe (MB) ambaye alikuwa mgeni rasmi wa mahafali ya kwanza ya shule hiyo |


mwonekano wa ndani ya ukumbi, vile palivyo pendeza na mbele ni wahitimu......
mkurugenzi wa shule (kulia), anayefuata ni Mkuu wa shule, na watatu ni Mh. mgeni rasmi (waziri) na wa mwisho ni mwenyekiti wa bodi ya shule.
 |
Mh. Waziri (MB) ambaye ni mgeni Rasmi wa mahafali ya kwanza ya shule hiyo. |
 |
moja ya Body Member akisalimu |
 |
Body Member akisalimu |
 |
Mkurugenzi wa shule hiyo |
 |
wimbo maalum toka kwa Mass Choir ya Shule. |
Mkurugenzi wa shule hiyo akielezea historiya ya shule hiyo, kikubwa ni kuwa shule ilianza ikiwa katika kundi la mamoja (wanafunzi 9 tu) hata makumi haikuwa imefika.... ila kwa baadaye waliamia wengine tokea pengine na sasa wanahitimu wanafunzi 20, na kwa sasa shule ina wanafunzi kwa kundi la mamia kuelekea maelfu...

Mh. waziri akihutubia, wanafunzi wahitimu na wanaobaki pamoja na wageni waalikwa.... na kutoa ahadi zake nyingi ikiwemo ya kuhakikisha inakuwa mwisho kwa wanafunzi wa shule hiyo kutumia maji yenye chumvi (ya kisima).
palikuwa na mengi sana yakifanywa na wanafunzi... kiasi cha kuwafanya meza ya mgeni rasmi kuwa bize upande mmoja..
pia zawadi zilitolewa kwa wanafunzi waliyofanya vizuri kwa vidato vilivyosalia
pamoja na wahitimu kupewa vyeti na Mgeni rasmi.... pia kwa wale waliofanya vizuri katika maeno mengine kama ACADEMIC, DISCIPLINE, SPIRITUAL, LEADERSHIP, na CLEANLINESS walipewa heshima zao kwa kuvishwa medali ya BRONZE, na Mgeni rasmi,
he, mcheza kwao naye hutunzwa..... Mh. waziri (mgeni rasmi) akipewa zawadi na Mkurugenzi wa shule hiyo
 |
picha ya pamoja na meza ya mgeni rasmi |
 |
maneno ya kuhamasisha yalikuwepo ukutani ndani ya ukumbi.... |
 |
wahitimu wakionesha furaha yao baada ya kupokea vyeti na zawadi zao. |
 |
wimbo maalumu unaotambulisha shule na mpango mkakati wa shule... |
 |
(ndani ya wimbo) waimbaji wakifanya action kwa kuonesha shule haibagui dini, rangi wala kabila... |
 |
waimbaji wakionesha vinavyopatikana au kutolewa na shule yao... michezo, mapishi, usafi..... |
 |
action ya usafi |
 |
baada ya wimbo Mh. kashindwa vumilia akasema yake ya moyoni baada ya kuona vile watoto wakitumia kingereza kwa ufasaha kuanzia mwanzo mpaka mwisho.... |
 |
Mh. ampongeza mwalimu wa kingereza shuleni hapo |
 |
Add caption |
 |
Mkuu wa shule |
 |
mtindo wa aina yake wa kwenda kula...... ya kwanza kuona na ilipendeza sana!! |
 |
academic master wa shule |
 |
Mgeni rasmi akiwa na baadi ya Body members wa shule hiyo |
 |
nembo ya shule.... |
mwonekano wa mbele pindi uingiapo ndani ya shule ya LA MIRIAM SECONDARY SCHOOL...
KWA MAWASILIANO ZAIDI
simu ni +255 715 776 707 au +255 718 343 434
0 comments:
Post a Comment