"CONVO" is once a year, life changing International event, for all College and University Students of all levels and background.
A moment of Relaxation, Spiritual, & Academic challenge with fellows from Ethiopia, DRC congo, Mozambique, UK, Kenya, Tanzania, Malawi, Singapore, Brazil, Rwanda and many others.
 |
| makundi ya watu wakifuatilia matukio yanavyofwatana |
 |
| kwaya kutoka chuo cha Mzumbe |
 |
| kundi la washiriki toka vyuo mbalimbali |
 |
| kwaya kutoka chuo kikuu cha kilimo cha Sokoine (SUA) |
 |
| baadhi ya ma-lectures toka vyuo mbalimbali walikuwepo |
 |
| kundi jingine la washiriki toka vyuooni mkoa wa Morogoro |
 |
| kwaya toka sua UPSF CHOIR wakihudumu |
 |
| kwaya toka Chamwino wakihudumu |
 |
| mwanadada Hilda Nchunga, mwimbaji anayekuja spidi kali zaidi ya ndege ya jeshi, ambaye naye ni mwanafunzi tokea chuo cha SAUT - Morogoro akihudumu |
 |
| kila mmoja bizebizeeee |
 |
| staili ya aina yake katika kusalimiana ilitumika kusalimiana |
 |
| mwimbaji Hilda Nchunga, (katikati mwenye blauzi nyekundu) |
 |
| Iyamuremye Fabien, toka Rwanda, akitumia muda wa dakika kumi kusemezana na wanachuo.. kuhusu maisha na Mungu |
 |
| Siew Ying Bong, Professional Educator from Singapore |
 |
| mama akishusha Baraka kwa wana vyuoo.. |
 |
| MC (kulia) akielekezwa namna ya kulitaja jina la Siew Ying Bong... |
 |
| MC ( Mwongozaji wa Convo-2013) |
 |
| ukafika wasaa wa kusifu na kumwabudu Mungu, iliyoongozwa na VOICE OF TRIUMPH from Arusha |
 |
| ushambulizi wa Mic ulikuwa mkali sana... |
 |
| bila kuambiwa njoo mbele.... pakatokea ghafla hakuna nafasi tena watu full Sebene wakimsifu na kumchezea Mungu |
 |
| kila mmoja bize na step yake anayoijua yeye... |
 |
| Fulgence J. Mishili, (PhD), Lecturer Applied Economist - SUA, akitumia muda wa dakika kumi kusema na kuwatia moyo wana vyuo kuhusiana na maisha yao pamoja na kumwabudu Mungu |
 |
| Dr. Mishili, (kulia) akiwa anaongea na Mchungaji wa ICC (kushoto) |
 |
| Mchungaji kiongozi wa kanisa la ICC Morogoro - Tanzania, Pastor Emmanuel MeshlyeCk |
 |
| akiwaombea wanafunzi walioshiriki tokea vyuo mbalimbali Morogoro, ambavvo ni Mzumbe University, Muslim University, SUA(Main, New Hostel, SMC), ST. JOSEPH, ST. AUGASTINE, TTC, ARIDHI, PHN and MOROGORO SCHOOL OF JOURNALISM na kuwatakia Baraka nyingi katika masomo yao.. |
 |
| akisema ukuhimu wa Mwanachuo kuwa na Yesu moyoni mwake |
 |
| kisha kuwaongoza sala ya toba wanachuo na kumpokea Yesu usiku huo |
 |
| maombi ya kufunga CONVO 2013 na maombi kwa ajili ya maandalizi ya CONVO 2014 |
 |
| usafiri ukiwa tayari kuwarudisha wanachuo vyuoni kwao... hakuna kutembea kwa miguu |
CONVOCATION 2013, is brought to you by ICC-Tanzania, (International Christian Center)
icctz@yahoo.com, www.icc.or.tz
at Mt. Uluguru Hotel Audtorium
Morogoro Town Center.
MWISHO WA CONVO - 2013 NDIYO MWANZO WA MAANDALIZI YA CONVO-2014USIPANGE KUKOSA.............................
0 comments:
Post a Comment