ads

Habari Mpya

Saturday, November 16, 2013

Irene Uwoya hana UKIMWI...Haya ni majibu ya vipimo vya ngoma aliyoyatundika mtandaoni


 

 Irene  Uwoya  hana  UKIMWI.....

Hii  si  kauli  yangu...Ni  kauli  ya  Mama  Krish  "Irene  Uwoya"  ambayo   imewekwa  katika  ukurasa  wake  wa  Instagram  ikiambatana  na  cheti  cha  maabara  kinachoonesha  kwamba  yeye  ni  mzima  wa  afya(  hana  ngoma )...
Pamoja  na  ambatanisho  hilo, Uwoya  amewataka  watanzania  kujiwekea  mazoea  ya  kupima  UKIMWI   ili  kujua  afya  zao
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Item Reviewed: Irene Uwoya hana UKIMWI...Haya ni majibu ya vipimo vya ngoma aliyoyatundika mtandaoni Description: Rating: 5 Reviewed By: Unknown
Scroll to Top