ads

Habari Mpya

Saturday, November 16, 2013

Picha 5 za muonekano mpya wa muigizaji Ray, amegeukia BONGOFLEVA au nini kinakuja?


rayray
Muonekano huu unaenda kuuona wa muigizaji na director wa bongomovie “Vicent Kigosi”unahusisha kubadilisha rangi ya nywere zake, tatoo kubwa kwenye mikono yote miwili na mavazi kama msanii wa bongoflava.
Yeye mwenyewe kwenye picha moja wapo aliandika caption ya “Je nageukia bongoflava au kuna nini kinakuja?”. Jinsi inavyoonekana ni moja ya maandalizi ya movie mpya kutoka RJ Company.
r1
r2
r3
r4
r5
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Item Reviewed: Picha 5 za muonekano mpya wa muigizaji Ray, amegeukia BONGOFLEVA au nini kinakuja? Description: Rating: 5 Reviewed By: Unknown
Scroll to Top