ads

Habari Mpya

Wednesday, December 25, 2013

HII NDIYO TATU BILA YA KUMALIZIA MWAKA 2013 na KUKARIBISHA MWAKA 2014, KWA BETHEL REVIVAL TEPLE-MOROGORO

kabla ya kuingia ndani ya ukumbi kwa ajili ya uzinduzi



kwaya pamoja na mwalimu wao wa kwaya

wana kwaya pamoja na mkurugenzi wa kituo 119, (kushoto) waliokaa ( na kulia) ni mwalimu wao wa kwaya

boys na mwalimu wa kwaya

girls na mwalimu wa kwaya

moja kati ya waimbaji waliokuwepo katika Uzinduzi huo... Hellen Kijazi toka Tanga


mapokezi ya mgeni rasmi..

mgeni rasmi akiwa anaingia morogoro


akiwa anaingia katika eneo la kanisa la Bethel
Mch. kiongozi wa Bethel, ambaye ndiyo Askofu Mkuu wa TAG, Dr. B. Mtokambali, akimpokea mgeni rasmi

Mtokambali anampokea na kumkaribisha na kumtambulisha kwa baadhi ya viongozi wa kanisa la bethel na wageni wengine

utambulisho kwa Mchungaji Yona, msahidizi wa kanisa la Bethel

mwenyekiti wa WWK Mrs. Muro (kulia)
PF wa kanda ya mashariki Compassion (kulia)
mwenyekiti wa bodi ya walezi na wasimamizi wa kituo cha 119

Mch. Michael, toka USA, kwa ajili ya kambi litakaloisha tarehe 01/01/2014 (aliye shati la drafti walioshikana mkono na mgeni rasmi)

utambulisho kwa Mch. Dr. kyulule, aliyekuja kwaajili ya kambi pia toka USA
utambulisho kwa makamu mzee kiongozi wa Bethel

utambulisho moja wa mzee wa kanisa la bethhel

utambulisho kwa moja wa wazee wa kanisa la bethel wa mda mrefu Bibi Mchome

utambulisho kwa mzee wa kanisa na mlezi wa vijana Bethel
utambulisho kwa moja wa wasimamizi wa kituo namba Tz 119

mkurugenzi wa kituo Tz 119, kilichopo hapo bethel

utambulisho kwa askofu wa jimbo

maombezi ya kumshukuru Mungu kufika salama
kusaign kitabu cha wageni hapo Bethel



sehemu za mafunzo kwa watoto wa kituo cha mtoto hapo Bethel, (TZ 119)
maelezo toka kwa mwenyekiti wa bodi ya kituo

ufunguzi wa sehemu ya watoto kujisomea (Liblary)

ufunguzi wa pili sehemu ya watoto kujifunzia kutumia computer




mgeni rasmi akiwa anajaribisha moja ya computer
uzinduzi wa tatu, ni wa sehemu ya kujifunzia mafunzo ya cherehani



uzinduzi hawamu ya kwanza umekamilika tayari... tunaelekea uzinduzi mwingine
kuingia ndani ya ukumbi wa kanisa la Bethel



UZINDUZI HAWAMU YA PILI WA KAMBI LA CHRIMASS na MWAKA MPYA na Mch. kiongozi wa kanisa la Bethel, na Askofu Mkuu wa TAG, Dr. B. Mtokambali, amabaye ni mwalimu wa kambi la Christmass na Mwaka mpya


palikuwa ni padogo siku hiyo...


zinduzi wa pili ulikuwa ni wa KAMBI LA CHRISTMASS NA MWAKA MPYA, litakalo isha siku ya tarehe 01/01/2014,  na huyu hapa ni moja kati ya waalimu wa kambi Mch. Dr. kyulule, toka USA
mwalimu wa tatu katika kambi ni Mch. Dr. Michael, toka USA

salamu za PF

UZINDUZI HAWAMU YA TATU WA ALBUM YA KWANZA YA LIVING TESTMONY na Mgeni Rasmi na huyo ndiye mwali azinduliwaye amegawanyika katika rangi tatu, gold, gray na blue

wanaume wa kwaya wakiwa wanaingia kwa manjonjo



ikafuta zamu ya wadada kama kawa maringo lazima





wakaanza kutimua vumbi la uimbaji.... utadhani siyo watoto,

watoto wakionyesha ufundi wa kucheza muziki



risala kwa mgeni rasmi toka kwa kwaya ya LIVING TESTMONY
kwaya shirikishi kati uzinduzi huo...


kukabidhi risala kwa mgeni rasmi

Mch. kiongozi akasimama kumkaribisha Askofu wa jimbo
askofu wa jimbo kumkaribisha Mgeni rasmi ambaye ni Katibu Mkuu wa TAG

salamu za mgeni rasmi kwa washirika wooote

Katibu mkuu wa TAG, Mch. Swai, ambaye ndiye aliyekuwa mgeni rasmi

palipo na mkubwa lazima haeshimiwe..... akatambuishwa mtokambali kama Askofu mkuu na siyo Mch. kiongozi wa Bethel

maombezi kwa wanakwaya, waalimu na walezi








haya sasa mwali anatakiwa kufunguliwa LIVE


anamfungua sasa

Mgeni rasmi akijaribu kucheza step za moja ya nyimbo za watoto hao waliozindua Album yao


Askofu mkuu na Mch. Kiongozi wa Bethel, akajitwalia zake mapeema

pia Mzee wa kanisa analoongoza Mgeni rasmi naye mapema zile za gold

he! wadada nao pia wamo kumbe kwenye hii safu ya rangi ya gold
Asskofu wa jimbo hakutaka kuwa nyuma

zikaendelea


mpaka sasa zikafikiwa za rangi ya Blue kwa laki moja moja nazo zikaisha piii...
neno la shukrani toka kwa Mch. kiongozi wa kanisa la Bethel Revival Temple


kisha akapanda upendo kilahiro kwa ajili ya uimbaji...


ule usemi wa mtoto wa Mungu naye Mungu ukathibitiaka hapo, baada ya mtoto wa Upendo kutema vocal kali na zaajabu kiuimbaji....Duh


mwisho mama akamalizia

maombi rasmi kwa mgeni rasmi kwa ajili ya safari ya kurudi kwake Dar, baada ya kumaliza kazi yake


safari salama ndugu mgeni rasmi

Askofu Mkuu (katikati) akiwa na Askofu wa jimbo (kulia) na Mwangalizi wa section (kushoto)

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Item Reviewed: HII NDIYO TATU BILA YA KUMALIZIA MWAKA 2013 na KUKARIBISHA MWAKA 2014, KWA BETHEL REVIVAL TEPLE-MOROGORO Description: Rating: 5 Reviewed By: Unknown
Scroll to Top