kabla ya kuingia ndani ya ukumbi kwa ajili ya uzinduzi |
kwaya pamoja na mwalimu wao wa kwaya |
wana kwaya pamoja na mkurugenzi wa kituo 119, (kushoto) waliokaa ( na kulia) ni mwalimu wao wa kwaya |
boys na mwalimu wa kwaya |
girls na mwalimu wa kwaya |
moja kati ya waimbaji waliokuwepo katika Uzinduzi huo... Hellen Kijazi toka Tanga |
mapokezi ya mgeni rasmi.. |
mgeni rasmi akiwa anaingia morogoro |
akiwa anaingia katika eneo la kanisa la Bethel |
Mch. kiongozi wa Bethel, ambaye ndiyo Askofu Mkuu wa TAG, Dr. B. Mtokambali, akimpokea mgeni rasmi |
Mtokambali anampokea na kumkaribisha na kumtambulisha kwa baadhi ya viongozi wa kanisa la bethel na wageni wengine |
utambulisho kwa Mchungaji Yona, msahidizi wa kanisa la Bethel |
mwenyekiti wa WWK Mrs. Muro (kulia) |
PF wa kanda ya mashariki Compassion (kulia) |
mwenyekiti wa bodi ya walezi na wasimamizi wa kituo cha 119 |
Mch. Michael, toka USA, kwa ajili ya kambi litakaloisha tarehe 01/01/2014 (aliye shati la drafti walioshikana mkono na mgeni rasmi) |
utambulisho kwa Mch. Dr. kyulule, aliyekuja kwaajili ya kambi pia toka USA |
utambulisho kwa makamu mzee kiongozi wa Bethel |
utambulisho moja wa mzee wa kanisa la bethhel |
utambulisho kwa moja wa wazee wa kanisa la bethel wa mda mrefu Bibi Mchome |
utambulisho kwa mzee wa kanisa na mlezi wa vijana Bethel |
utambulisho kwa moja wa wasimamizi wa kituo namba Tz 119 |
mkurugenzi wa kituo Tz 119, kilichopo hapo bethel |
utambulisho kwa askofu wa jimbo |
maombezi ya kumshukuru Mungu kufika salama |
kusaign kitabu cha wageni hapo Bethel |
sehemu za mafunzo kwa watoto wa kituo cha mtoto hapo Bethel, (TZ 119) |
maelezo toka kwa mwenyekiti wa bodi ya kituo |
ufunguzi wa sehemu ya watoto kujisomea (Liblary) |
ufunguzi wa pili sehemu ya watoto kujifunzia kutumia computer |
mgeni rasmi akiwa anajaribisha moja ya computer |
uzinduzi wa tatu, ni wa sehemu ya kujifunzia mafunzo ya cherehani |
uzinduzi hawamu ya kwanza umekamilika tayari... tunaelekea uzinduzi mwingine |
kuingia ndani ya ukumbi wa kanisa la Bethel |
UZINDUZI HAWAMU YA PILI WA KAMBI LA CHRIMASS na MWAKA MPYA na Mch. kiongozi wa kanisa la Bethel, na Askofu Mkuu wa TAG, Dr. B. Mtokambali, amabaye ni mwalimu wa kambi la Christmass na Mwaka mpya |
palikuwa ni padogo siku hiyo... |
zinduzi wa pili ulikuwa ni wa KAMBI LA CHRISTMASS NA MWAKA MPYA, litakalo isha siku ya tarehe 01/01/2014, na huyu hapa ni moja kati ya waalimu wa kambi Mch. Dr. kyulule, toka USA |
mwalimu wa tatu katika kambi ni Mch. Dr. Michael, toka USA |
salamu za PF |
UZINDUZI HAWAMU YA TATU WA ALBUM YA KWANZA YA LIVING TESTMONY na Mgeni Rasmi na huyo ndiye mwali azinduliwaye amegawanyika katika rangi tatu, gold, gray na blue |
wanaume wa kwaya wakiwa wanaingia kwa manjonjo |
ikafuta zamu ya wadada kama kawa maringo lazima |
wakaanza kutimua vumbi la uimbaji.... utadhani siyo watoto, |
watoto wakionyesha ufundi wa kucheza muziki |
risala kwa mgeni rasmi toka kwa kwaya ya LIVING TESTMONY |
kwaya shirikishi kati uzinduzi huo... |
kukabidhi risala kwa mgeni rasmi |
Mch. kiongozi akasimama kumkaribisha Askofu wa jimbo |
askofu wa jimbo kumkaribisha Mgeni rasmi ambaye ni Katibu Mkuu wa TAG |
salamu za mgeni rasmi kwa washirika wooote |
Katibu mkuu wa TAG, Mch. Swai, ambaye ndiye aliyekuwa mgeni rasmi |
palipo na mkubwa lazima haeshimiwe..... akatambuishwa mtokambali kama Askofu mkuu na siyo Mch. kiongozi wa Bethel |
maombezi kwa wanakwaya, waalimu na walezi |
haya sasa mwali anatakiwa kufunguliwa LIVE |
anamfungua sasa |
Mgeni rasmi akijaribu kucheza step za moja ya nyimbo za watoto hao waliozindua Album yao |
Askofu mkuu na Mch. Kiongozi wa Bethel, akajitwalia zake mapeema |
pia Mzee wa kanisa analoongoza Mgeni rasmi naye mapema zile za gold |
he! wadada nao pia wamo kumbe kwenye hii safu ya rangi ya gold |
Asskofu wa jimbo hakutaka kuwa nyuma |
zikaendelea |
mpaka sasa zikafikiwa za rangi ya Blue kwa laki moja moja nazo zikaisha piii... |
neno la shukrani toka kwa Mch. kiongozi wa kanisa la Bethel Revival Temple |
kisha akapanda upendo kilahiro kwa ajili ya uimbaji... |
ule usemi wa mtoto wa Mungu naye Mungu ukathibitiaka hapo, baada ya mtoto wa Upendo kutema vocal kali na zaajabu kiuimbaji....Duh |
mwisho mama akamalizia |
maombi rasmi kwa mgeni rasmi kwa ajili ya safari ya kurudi kwake Dar, baada ya kumaliza kazi yake |
safari salama ndugu mgeni rasmi |
Askofu Mkuu (katikati) akiwa na Askofu wa jimbo (kulia) na Mwangalizi wa section (kushoto) |
0 comments:
Post a Comment