ads

Habari Mpya

Saturday, December 21, 2013

TUKIO LA WIZI JIJINI DAR: GARI LA MSANII NAY WA MITEGO LAVAMIWA NA WAHUNI NA KUIBIWA BAADHI YA VIFAA...! CHEKI PICHA HAPA



Nay wa mitego A.k.a Ttrue boy
 
Msanii wa Hip Hop, Nay Wa Mitego usiku wa kuamkia jana ameibiwa vifaa vya gari lake aina ya Toyota Verossa lenye namba T 418 CGK vyenye thamani ya shilingi milioni 4 lililokuwa limeegeshwa nyumbani kwake.

Nay ameiambia Bongo5 kuwa jana aliliacha salama wakati anaenda kulala lakini alivyoamka leo asubuhi,akakuta limenyofolewa baadhi ya vifaa. Hizi ni picha za gari la Nay baada ya kuporwa baadhi ya vifaa vyake.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Item Reviewed: TUKIO LA WIZI JIJINI DAR: GARI LA MSANII NAY WA MITEGO LAVAMIWA NA WAHUNI NA KUIBIWA BAADHI YA VIFAA...! CHEKI PICHA HAPA Description: Rating: 5 Reviewed By: Unknown
Scroll to Top