Leo
nilipata muda wa kukaa behind my TV na kuiangalia show ya Eviction ya
Big Brother, na hizi ni picha ambazo nilizipiga, huku imani yangu ikiwa
Feza Kessy, anayaaga mashindano hayo, na matokeo yake yakawa kinyume.
Huyo hapo Juu ni IK, mwendesha kipindi na Mc wa Eviction shows za Big
Brother
Mjengoni, kabla ya IK kutangaza kwamba wiki hii anatoka mshiriki mmoja
Feza, hata
mwenyewe anakiri kwamba ameponea katika tundu ya sindano, kila mtu
alimkatia tamaa, hapa akiwa ameshajitana bndera yake tayari kwa kutoka
Elikem, mzee wa FutiKamba, huyu jamaa kila kwenye Eviction anavaa futi sijui kwa nini?
Wakati wa kutajwa `anayechapa Lapa' ukafika....
..akatajwa Oneal, hapa inapigwa hug ya mwisho mjengoni
Dada yetu kama alipigwa na wenge hivi....
Oneal huyooooo, ...Botswana...

0 comments:
Post a Comment